Taarifa mpya kutoka simba leo jumamosi - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa mpya kutoka simba leo jumamosi

Simba yaibwanga Yanga tuzo ya DSCOY

Ni leo Kivumbi cha Nbc premier league kinaelekea ukingoni huku ni Yanga vs Tabora united kule ni Simba vs Kmc unaanzaje kukosa kuzitazama mechi hizi live bureee kwenye simu yako?? Bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi zote hizi live buree kabisaa

Tumeshinda Tuzo ya Klabu Bora ya Michezo inayotumia Digitali kwa Ufanisi (Digital Sports Club of the Year).

Tulikuwa tunawania tuzo hii na Azam FC, Young Africans, Mtibwa Sugar na Mashujaa FC.

Hii inakuwa mara ya pili kwa Simba SC kushinda tuzo hii. Shukrani kwa watu wote waliotupigia kura na kufanikisha kushinda tuzo hii.

Pia mchezaji wetu Aishi Manula ameshinda Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka (Digital Athlete of the Year).Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz