Goli la Aziz Ki lilikuwa halali - Rais wa CAF Motsepe - EDUSPORTSTZ

Latest

Goli la Aziz Ki lilikuwa halali - Rais wa CAF Motsepe

Goli la Aziz Ki lilikuwa halali - Rais wa CAF Motsepe

Ni jumamosi ya Kibabe ni jumamosi ya kihistoria huku ni Yanga vs Tabora united kesho pia ni Kmc vs Simba mechi za kibabe zote unaanzaje kukosa kutazama mechi hizi live bureeee kabisa kupitia simu yako bado unajiuliza utazitazama vipi bofya hapa kudownload app itakayorusha mechi zote hizi live bureee kabisa unasubiri nini bofya sasa kuangalia mechi zote hizi bureeeeeee

Rais wa shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekiri kuwa goli la Yanga lililokataliwa mwamuzi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Mamelod Sundowns Afrika Kusini lilikuwa goli halali.

Rais Motsepe ameyasema hayo leo alipowasili visiwani Zanzibar katika fainali za African schools football na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa TFF Wallace Karia.

“Japo Rais wa CAF hatakiwi kutoa maoni yoyote kuhusu maamuzi ya mwamuzi lakini kwangu mimi nilivyorudia kuangalia lilikuwa ni goli halali” — amesema Motsepe.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz