Dabi ya Kariakoo kuchezwa Morocco - EDUSPORTSTZ

Latest

Dabi ya Kariakoo kuchezwa Morocco

Dabi ya Kariakoo kuchezwa Kariakoo

Ni kesho kombe la CRDB FEDERATION CUP Yanga vs Ihefu Fc unawajua wananchi hawanaga dogo unaanzaje kuikosa mechi hii usikose kuitazama mechi hii live buree kabisa kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live bureee kabisa

Shirikisho la Mpira Duniania (FIFA), lilikutana huko nchini Thailand Siku ya Jumatano, Mei, 15, 2024 katika kongamano lake la kila mwaka nakufanya tathmini ya kiwango gani mechi za michuano ya ndani zilizochezwa kwenye mabara mengine au nje ya nchi ambazo siyo asili zimefanikiwa.

(Mfano mechi ya El clasicco kuchezwa USA na zinginezo ni kwa kiwango gani zimefanikiwa na matokeo au mapokeo yake yamekuwaje)

FIFA ilitangaza kwamba wanachama 10 hadi 15 wanaowakilisha vyama vya kitaifa, mashirikisho, vilabu, ligi, wachezaji, vikundi vya mashabiki na mashirika binafsi watakutana tena ili kutoa mapendekezo juu ya suala hilo katika miezi ifuatayo.

Iwapo wakijiridhisha na kuona utaratibu huo ni mzuri na unafaa FIFA watatoa fursa kwa baadhi ya mechi zingine za ligi ambazo zinamsisimko mbele ya mashabiki kuchezwa kwenye nchi au bara lingine.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz