Yanga yaingia Mkataba huu... na Air Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yaingia Mkataba huu... na Air Tanzania

Yanga yaingia Mkataba huu... na Air Tanzania

JKT TANZANIA vs  YANGA ni leo unaanzaje kuikosa mechi hii bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live buree kabisa ili uweze kuitazama mechi hii kwenye simu yako

Klabu ya Yanga imengia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL, wenye makubaliano ya kubadilishana huduma ambapo Yanga itapata punguzo la gharama za Usafiri na kuitangaza ATCL kwenye Safari zao.

Klabu ya Yanga imengia Mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege la ATCL, wenye makubaliano ya kubadilishana huduma ambapo Yanga itapata punguzo la gharama za Usafiri na kuitangaza ATCL kwenye Safari zao. Mbali na kuitangaza ATCL, pia Yanga wataitangaza Tanzania ikiwa ndio lengo Mama la Mkataba huo, amezungumza Mtendaji Mkuu wa ATCL Ladislaus Matindi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz