Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kupitia kwa Shirikisho la mpira wa miguu TFF limewataka Yanga kugharamia matengenezo ya uwanja wa Benjamin Mkapa ufuatia uharibifu uliotokea kwenye mechi dhidi ya Mamelodi Sundowns.
Uharibifu uliotokea ni kuvunjwa kwa mageti sita na vioo vya mageti sita ya kieletroniki.
Na gharama hizo zinatakiwa kulipwa haraka kabla va tarehe 15 mwezi Aprili. Ikumbukwe kuwa, Aprili 20, 2024 itakuwa mchezo wa Dabi kati ya Yanga vs Simba lwenye Dimba hilo hilo.
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment