Yanga kung'oa kifaa hiki Asec Mimosas - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga kung'oa kifaa hiki Asec Mimosas

Franck Zouzou

Ni Yanga vs Simba jumamosi hii unakosaje kuitazama mechi hii live buree kabisa kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayo rusha mechi hii live bureee kabisa bofya sasa kuidownload mapema ili kuepuka usumbufu siku ya mechi

Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Yanga, Joyce Lomalisa Mutambala huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu.

Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Yanga, Joyce Lomalisa Mutambala huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu. Klabu ya Yanga tayari imeanza maandalizi ya kuiziba nafasi ya nyota huyo raia wa Congo DR kwa kumtazama kwa karibu mlinzi wa Kushoto wa Asec Mimosa Franck Zouzou.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz