Tetesi: Watford wamfuata Mzize Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi: Watford wamfuata Mzize Yanga

Clement Mzize

Leo ni Singida Fg vs Yanga usikose kuitazama mechi hii live bureee kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live bureee kabisaa

Tetesi zinaeleza kuwa Klabu ya Watford ya Uingereza inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Uingereza inataka huduma ya mshambuliaji wa Yanga Sc, Clement Mzize.

Inasemekana kuwa Watford wamewasiliana maombi yao kwa Wakala wa Mchezaji huyo anayefahamika kwa jina la Jasmine Razack.

Huenda Viongozi wa Yanga wakakutana na Wakala Jasmine kuzungumzia muafa wa mzize kwa maslahi ya Klabu.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz