Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba, juzi Jumamosi kilifanyika kikao kizito kutathimini mikakati na mwenendo wa klabu ya Simba ambayo kwa sasa imekuwa ikisua sua kupata matokeo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba, juzi Jumamosi kilifanyika kikao kizito kutathimini mikakati na mwenendo wa klabu ya Simba ambayo kwa sasa imekuwa ikisua sua kupata matokeo. Maamuzi yamefanyika tayari, Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekubali kuachia nafasi yake na klabu inatarajia kuleta CEO mpya kutoka Afrika Kusini.
No comments:
Post a Comment