Simba kufungua Dimba na KVZ Kombe la Muungano - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba kufungua Dimba na KVZ Kombe la Muungano

Simba kufungua Dimba na KVZ Kombe la Muungano

Ni JKT TANZANIA vs YANGA kesho usikose kuitazama mechi hii live buree kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii bureee kabisa

Klabu ya Simba itamenyana na wenyeji, KVZ katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Jumatano ya Aprili 24 Uwanja wa New Amaan Complex visiwani, Zanzíbar wakati Azam FC itaanza na KMKM Alhamisi.

Klabu ya Simba itamenyana na wenyeji, KVZ katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Jumatano ya Aprili 24 Uwanja wa New Amaan Complex visiwani, Zanzíbar wakati Azam FC itaanza na KMKM Alhamisi. Washindi wa mechi za Nusu Fainali watakutana katika Fainali Aprili 27 hapo hapo Amaan Complex.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz