Nabi kumchomoa Pacome Yang - EDUSPORTSTZ

Latest

Nabi kumchomoa Pacome Yang

Nabi kumnyakua Pacome Yanga

Usikose kuitazama mechi ya Dodoma jiji vs Yanga live bure bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii bureeee

Taarifa zinaeleza kuwa Wydad Casablanca ya Morocco na AS FAR Rabat (inayofundishwa na Kocha Nasreddine Nabi) zinamfatilia Kwa karibu uwezekano wa kumsajili kiungo wa Yanga SC, Pacome ZouZoua.

Klabu hizo zinalenga kumsajili nyota huyo kwenye dirisha kubwa usajili mwaka huu ambapo Wydad wao wapo kwenye maboresho makubwa kuelekea msimu ujao.

FAR Rabat wanataka kuongeza ubora kwenye kikosi chao ambapo wamekuwa Bora Kwa msimu takribani miwili lakini wanataka kufanya vizuri kwenye michuano ya Kimataifa msimu ujao.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz