Mzize, Mwamnyeto hawaondoki Yanga - Ali Kamwe - EDUSPORTSTZ

Latest

Mzize, Mwamnyeto hawaondoki Yanga - Ali Kamwe

Mzize, Mwamnyeto hawaondoki Yanga - Ali Kamwe

Mtoto hatumwi Dukani ni kesho dabi ya kariakoo Yanga vs Simba unaanzaje kukosa kuitazama mechi hii kupitia simu yako unajiuliza utaitazama wapi na vipi bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live bureee kabisa buree bonyeza sasa kuidownload mapema ili kuepuka usumbufu

Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, amesema hakuna mchezaji yeyote mwenye mawazo ya kundoka Yanga.

Amesema kitendo cha wachezaji wao kutakiwa na timu mbalimbali kinatakiwa kuchukuliwa kwa mawazo chanya maana kinadhihirisha wana timu nzuri lakini hata hivyo wachezaji hao hawawezi kuondoka maana Yanga ndio mahali sahihi.

"Wewe ndio Mzize nyuma yako kuna Max, Aucho, Mudathir utaondoka uende wapi? Ukacheze na nani?," alisema Kamwe.

Hivi karibuni kumeibuka tetesi kuwa Simba SC wanamtaka beki wa Yanga, Bakari Mwamnyeto lakini pia, Azam FC wamepeleka rasmi ofa ya kumtaka mshambuliaji Clement Mzize.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz