Manara acharuana na Mwamuzi wa mechi ya Yanga Instagram - EDUSPORTSTZ

Latest

Manara acharuana na Mwamuzi wa mechi ya Yanga Instagram

Manara acharuana na Mwamuzi wa mechi ya Yanga Instagram

Ni Mashujaa vs Simba na Dodoma Jiji vs Yanga kombe la FA usikose kuzitazama mechi hizi live buuuree kabisa bonyeza hapa kudownload app yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi zote hizi bureeee

Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz Ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR)

Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na Semaji la Dunia Haji Sunday Manara.

Mwamuzi Beida Dahane ameweka wazi kuwa wakati wa faulo ya @lomalisa4 wanao-control VAR walishindwa kutoa maamuzi hivyo walihitaji msaada wake ndio maana alienda kuwasaidia lakini Kwenye Goli la aziz.ki.10 hakwenda kuthibitisha kwenye VAR kwa sababu haikuwa kazi ngumu kwa wanao-control VAR kutoa maamuzi, walimueleza mapema kuwa sio goli, hivyo kama kuna makosa yoyote walaumiwe wao.

Mwamuzi Beida Dahane @dahane_23 amefunguka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa Watanzania kwani hakuhusika katika maamuzi, kama kuna kosa lolote amefanya basi ataomba msamaha kwa Mungu.

Mwamuzi Beida Dahane amesisitiza kwamba yeye ndiyo anatakiwa kuombwa msamaha maana anashambuliwa sana kutokana na sakata hili, wakati wanaotakiwa kushambuliwa ni watu wa VAR.


JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz