Klabu ya lhefu ambayo ilikuwa na maskani yake pale Mbeya baadae kuhamishiwa Singida ,Imebadilishwa rasmi jina na sasa inaitwa Singida Black stars SC.
Maelezo ya Barua ya lhefu ambayo kwasasa ni Singida Black Stars,lengo la wao kubadilisha jina ni kuwaunganisha wakazi wa Singida na timu hiyo.
Kuhusu Singida Big Stars ilishahamishia makazi Jiiini Mwanza nayo si ajabu siku yoyote kunzia sasa ikabadilishwa jina
JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment