FIFA yaifungia Yanga kusajili - EDUSPORTSTZ

Latest

FIFA yaifungia Yanga kusajili

FIFA yaifungia Yanga kusajili

Kesho kutwa ni Singida Fg vs Yanga usikose kuitazama mechi hii live ( mubashara ) kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app yetu buree kabisa ili usipitwe na mechi hii

Klabu ya Yanga SC, imefungiwa kufanya usajili na FIFA kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu FIFA.

Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annee 3 ya kanuni ya uhamisho wa wachezaji RSTP ya Shirikisho hilo.

Pamoja na masuala mengine, Yanga haikuingiza uthibitisho wa malipo ya uhamisho ya mchezaji husika katika Mfumo wa Usajili TMS licha ya kukumbushwa kufanya hivyo.

Klabu hiyo imetakiwa kutekeleza matakwa hayo ya kikanuni na kuwasilisha taarifa ya Kamati ya Nidhamu ya FIFA ambapo suala hilo limefikishwa kwa ajili ya hatua zaidi.


Kutokana na uamuzi huo wa FIFA, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzaia TFF limeifungia kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz