Yanga wapewa Mamelodi Sundowns Robo Fainali CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga wapewa Mamelodi Sundowns Robo Fainali CAF

Yanga wapewa  Mamelodi Sundowns Robo Fainali CAF

Mechi zote za CAF zitakuwa live kwenye app yetu bofya hapa kuidownload mapema kabisa ili usipitwe pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama mechi zote za ligi kuu tz bara na mechi zote ni bureeeee kabisa bofya sasa

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Klabu ya Yanga imepangwa na Timu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Yanga walikuwa na nafasi ya kukutana na wapinzani watatu ambao ni Asec Mimosas, Mamelodi Sundowns na Petro Atletico De Luanda.

Je Unadhani Yanga wana nafasi ya kutoboa nusu Fainali mbele ya Mamelodi? Tupe maoni yako

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz