Taarifa Mpya kutoka Caf - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka Caf

 

Usikose kuitazama mechi ya Simba vs Tanzania prison live bure kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live bure kabisa

Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya 2023/24 na CAF Confederation Cup itafanyika Jumanne, 12 Machi 2024.

Droo itachezeshwa Cairo, Misri kwa kuanzia na Kombe la Shirikisho la CAF na Ligi ya Mabingwa wa CAF 

Timu zitakazoshiriki Robo Fainali ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup zinajulikana kufuatia kukamilika kwa hatua ya makundi mwishoni mwa juma.

Timu Zilizofuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF:

Al Ahly (Misri), ASEC Mimosas (Ivory Coast), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), Atletico Petroleos (Angola), TP Mazembe (DR Congo), Simba SC (Tanzania), Esperance Sportive de Tunis (Tunisia), Young Africans ( Tanzania).

Timu Zilizofuzu Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF:

USM Alger (Algeria), Zamalek (Misri), Dreams FC (Ghana), RS Berkane (Morocco), Modern Future (Misri), Abu Salem (Libya), Rivers United (Nigeria), Stade Malien (Mali).

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz