Samatta, Dickson Job watemwa Taifa Stars - EDUSPORTSTZ

Latest

Samatta, Dickson Job watemwa Taifa Stars

Samatta, Dickson Job watemwa Taifa Stars

KESHO👇👇

👉YANGA vs GEITA GOLD

Mechi hii itakuwa live bure kwenye App yetu yaani Mb za mia Tano tu unamaliza mechi unaanzaje kukosa, unajiita shabiki wa Mpira na hujapakua app hii 🤭 hebu bofya link hii Kisha uipakue App mapema utazame na sizoni zilizo tafsiriwa Kwa kiswahili👉👉Bonyeza hapa KUIDOWNLOAD app Bure kabisa Ili usipitwe na mechi hii live bure

😜Kwa taarifa Yako hii App Ina mambo mengi mazuri chukua dakika moja tu uidownload utanishukuru badae na kama hutoipenda basi we ifute ila najua utaipenda tu maana ni nzuri balaa😊

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleiman Morocco ametangaza kikosi chake kitakachokwenda nchini Azerbaijan kwaajili ya Michezo ya FIFA Series 2024.

Katika kikosi hiki aliyekosekana ni Mbwana Samatta, Dickson Job, Mzamiru Yassin na Metacha Mnata ambao walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza AFCON 2023 Ivory Coast mwezi januari, ongezeko ni Clement Mzize na Yahya Zaydi.

Mwingine nani ameongezwa au kupunguzwa?Michezo hiyo ya kirafiki itahusisha timu 20 kutoka mashirikisho yote sita ya FIFA ambapo kutakuwa na makundi matano na kila kundi litakuwa na timu nne.

Katika Timu nne hizo kwenye kila kundi, kila timu itacheza mechi mbili (itacheza na wapinzani wawili tu badala ya watatu) na hakutakuwa na Bingwa kwa sababu ni mechi za kirafiki za FIFA.

Kundi la Algeria

Algeria - CAF

Andorra - UEFA

Bolivia - CONMEBOL

South Africa - CAF

Kundi la Azerbaijan

Azerbaijan - UEFA

Bulgaria - UEFA

Mongolia - AFC

Tanzania - CAF

Kundi la Saudi Arabia A

Cambodia AFC

Cape Verde - CAF

Equatorial Guinea - CAF

Guyana - CONCACAF

Kundi la Saudi Arabia B

Bermuda - CONCACAF

Brunei - AFC

Guinea - CAF

Vanuatu - OFC

Kundi la Sri Lanka

Bhutan AFC

Central African Republic - CAF

Papua New Guinea - OFC

Sri Lanka - AFC.

Katika Kundi la Azerbaijan ambalo Tanzania yupo, mechi zitapigwa huko Baku kuanzia machi 22 na 25, 2024.

Machi 22, 2024: Bulgaria v Tanzania - Dimba la Dalga Arena, Baku

Machi 22, 2024: Azerbaijan v Mongolia - Dimba la Tofiq Bahramov

Machi 25, 2024: Tanzania v Mongolia - Dimba la Dalga Arena, Baku

Machi 25, 2024: Azerbaijan v Bulgaria - Dimba la Tofiq Bahramov Republican Stadium, Baku.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPAz
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz