Nimemsaidia mwanaume baada ya kupata mafanikio hanitaki tena! - EDUSPORTSTZ

Latest

Nimemsaidia mwanaume baada ya kupata mafanikio hanitaki tena!

Nimemsaidia mwanaume baada ya kupata mafanikio hanitaki tena!

Nimemsaidia mwanaume baada ya kupata mafanikio hanitaki tena!


Jina langu ni Salome kutokea Morogoro, Tanzania, kipindi nasoma sekondari nilikua na mahusiano na mkaka mmoja shule jirani na matokeo ya kumaliza sekondari nilifaulu vizuri lakini mwenzangu alifeli kabisa na tulikua tunapendana saana.

Iliniumiza kufeli kwake, nilichaguliwa kwenda kidato cha tano ila niligoma na kwenda chuo ni ushauri pia nilopewa na mpenzi wangu huyo ambaye nilimpenda sana.

Nilianza chuo na yeye alibaki mtaani kupambana, aligombana na familia yake na ilimlazimu kuanza kupanga, kumbuka hakuwa na kazi maalumu hivyo hali ilikua ni ngumu kidogo.

Familia yetu ilikua inajiweza hivyo kila nilipokua napewa pocket money ni kama tuliigawana mara mbili ili na yeye apate kuishi, basi maisha yaliendelea na tulipendana sana.

Alikuwa akinijali sana achilia mbali hali ya pesa haikua nzuri ila alinipa upendo na nilifurahia sana, alikua ni mtu wa kujichanganya sana hivyo alijuana na watu wengi ikampelekea kupata nafasi ya kazi nzuri na yenye mshahara mzuri.

Tulifurahia saana na mambo yalikua mazuri hakuacha kunijali hapa sasa ndipo nilijiona malkia maana hamna kitu nilitaka nikanyimwa hata ambavo sijaomba alinipa.

Ukweli nilikula raha niliamini ndio mwanaume wa maisha yangu, nilimuamini kuliko nilivyojiamini mwenyewe, maisha yaliendelea nikamaliza chuo, sikutaka kurudi nyumbani maana nyumbani ni Bukoba ila yeye alipata kazi Morogoro.

Ilibidi nimfuate, nilidanganya nyumbani nimepata kazi walikataa lakini nililazimisha kuondoka hawakua na namna walikubali, kisha nikaondoka zangu.

Alinipokea vizuri rasmi tulianza kuishi kama mke na mume, baada ya muda alinifungulia duka la vyombo mimi pia sio mzembe dukani mambo yalienda vizuri, hivyo nilikua napata fedha hata ya kuwatumia nyumbani na hawakua na wasi wasi tena.

Maisha yaliendelea na hakuacha kunionesha upendo bado. Siku moja alitoka kazini, kwa kawaida alikua akinipitia dukani ananisubiri tunaenda wote nyumbani lakini siku hiyo ilikuwa tofauti kwani alipitiliza nyumbani moja kwa moja.

Nilipofika nyumbani nilimkuta kama mtu mwenye mawazo, ilibidi nimuulize lakini hakunijibu na alitoka nje niliamua kumuacha na kuendelea na shughuli zangu nikapika nikamuita kula alikataa kula pia na haikua kawaida.

Ilibidi nimfate kiustaarabu nikamdodosa alinimbia tu kuna mwanamke anampenda na hataweza kuishi na mimi tena hivo natakiwa kufuata maisha yangu. Dah niliumia sana, kwanini inakuwa hivi? mbona ghafla? nafanyaje?.

Nilimbembeleza ila alibaki na msimamo wake, nilihisi maisha yangu yameisha, alinizuia kwenda dukani vikaanza vipigo, mwanaume aliyekua malaika alibadilika na kuwa mbogo kwangu.

Hakuwa yule niliyemjua, kila kitu kilibadilika hakuna tusi aliacha kunitukana hadi kuleta mwanamke ndani.

Yalinishinda ikabidi nirudi nyumbani nilikua nimekonda, nilivyofika nyumbani sikuwa na namna zaidi ya kuwambia ukweli, nashukuru walinipokea na kuniacha nipone maumivu.

Kuna rafiki yangu alikuja nyumbani kunitembelea na kumueleza jambo hilo, alinishauri niende kwa Kiwanga Doctors wanaweza kunisaidia, basi alinipatia namba zao (+254 769 404965), niliongea nao na kuwaeleza shida yangu.

Walinisaidia vizuri na baada ya muda yule mpenzi wangu alinipigia simu na kuniomba msamaha, alisema tangu nimeondoka mambo yamekuwa ni magumu kwake hivyo ananiomba nirudi.

Nilimwambia aje nyumbani kujitambulsha na kunitolea mahari, alifanya hivyo na kweli alionioa na sasa tunaishi pamoja kama mume na mke tumepata mtoto mmoja. Asante sana Kiwanga Doctors.

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

Mwisho.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz