NBCPL: Simba yachezea kipigo cha Tanzania Prisons - EDUSPORTSTZ

Latest

NBCPL: Simba yachezea kipigo cha Tanzania Prisons

Simba yachezea kipigo cha Tanzania Prisons

Usikose kuitazama mechi ya Yanga vs Namungo live bure bonyeza hapa kudownload app yetu itakayokuwezssha kuitazama mechi hii mubashara bure

Klabu ya soka ya Simba imedondosha alama tena kwenye msimamo wa Ligi baada ya kukubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons jioni ya leo Jumatano, Machi 6, 2024 katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Mabao yote ya Prisons yamefungwa na Samson Mbangula dakika ya 45+3 na dakika ya 62 huku bao la kufutia machozi la Simba SC likifungwa na Fabrice Ngoma dakika ya 89.

Simba anaendelea kusalia nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi huku Yanga akiongoza kwa tofauti ya alama 7 na wapinzani hawa wawili wote wakiwa wamelingana idadi ya michezo 16 na nafasi ya pili ni Azam FC wenye alama 43 sawa na Yanga lakini Azam wana michezo 19.

Je, Simba bado ana matumaini ya ubingwa msimu huu?

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz