Baada ya Mchambuzi wa masuala ya kandanda Jemedari Saidi kupinga shauri la Haji Manara la kumchangia Prince Dube, manara amemjibu haya kupitia kwenye Instagram.
"Mnaandika wenyewe mimi nimefungiwa, baadae mnasema sipo katika familia ya Mpira, hapo hapo mnasema nipuuzwe na baadae mnadai mimi Mjinga, kiufupi Mimi ndio Star wenu huku mitandaoni, Mimi ndio nnaewapa kula ya Matangazo yenu ya Zinaa na Nyeto,Bila Bugati likes na Comments ni mbili mbili tu.
Hampati engagement with out Haji, mpo tayari kutukaniwa hadi Wazazi wenu ili mradi mpate comments nyingi kwa kumdiss Buga la Mabuga.
Soka letu sometimes lazma ulichangamshe kwa utani utani na karaha kama hizo, Wasimaindi Azam wenyewe umaindi wewe uliyekuwa unaosha hadi gari ya Fei? Mtu uliyekuwa unashinda home kwa Fei na kufua hadi boxer zake leo unapata nguvu ya kuzuia utani wetu kwa Dube? Sio kenge wewe uiliyekuwa unaandika malalamiko ya Fei kila tukikaribia mechi ili kuichanganya Yanga ?
Au unadhani tunasahau ulivyokuwa ukileta vifungu vya kuokota okota ili mradi ionekana Yanga imemuonea Fesal? Hadi namba ya Account ulitoa na ukawa unaitaja Redioni? Utani wangu kidogo tu Pichu ishaloa.
Kosa langu ni nini ? Kama Naa alinifata mwenyewe na wewe unajua fika ?hebu niacheni nimalize adhabu nije kuwanyoosha au mnadhani nimefungiwa maisha? Eti Washabiki wa Yanga wanipuuze? Buga huyu huyu kipenzi cha Wananchi? Soma Comments kisha jitafakari na Mburula wenzio.
Msijaribu kushindana na Waliopewa na Mungu, na hapo ndio nipo nje ya football lakini kutwa kunijadili,Bila mimi Hamtoboi Bata nyie !!
By the way Falsafa zangu mimi sio za wengine, mimi Mijinga Mijinga Siwapi Vyeo,,mimi naikanda huku huku,Vyeo watapewa kwao Nyamikwapa huko, Bumbaav
Nb: Nilikuwa nalazimishwa kutembeza Ice Cream hata mchana wa jua kali wakati wenzangu wapo mazoezini"
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPAz
No comments:
Post a Comment