Mamelodi wawataka Esperance Robo Fainali CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Mamelodi wawataka Esperance Robo Fainali CAF

Mamelodi wawataka Esperance Robo Fainali CAF

Simba vs Tz Prison leo, Yanga vs Namungo kesho kutwa usikose kuzitazama mechi hizi live bure kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app yetu itakayo kuwezesha kuzitazama mechi zote bure

Klabu ya Mamelodi Sundowns wana vita yao binafsi na Klabu ya Esperançe de Tunis ya nchini Tunisia kutokana na Klabu hiyo kukaa juu yao katika Orodha ya Vilabu bora Afrika tena kwa Pointi chache hali inayoweza kuwaletea kiwingu mbeleni katika kampeni yao ya kutaka kucheza FIFA World Cup ijayo.

Esperançe katika Rank za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF wapo katika nafasi ya 3️⃣ na alama 51 juu ya Mamelodi ambao wapo chini yao katika nafasi ya 4️⃣ na alama zao 49.

Hii inamaanisha endapo Mamelodi Sundowns watapangwa kucheza mchezo wa Robo Fainali ya #CAFCL dhidi ya Esperançe na wakafanikiwa kuitoa wao ndio watapanda juu mpaka nafasi ya 3️⃣ kwa alama 55.

"Nje faida ya alama tutazozipata Mamelodi kwa Esperançe pia tatuweza moja kwa moja kukata Tiketi ya kushiriki Kucheza Michuano ya Kombe la Dunia kwa Vilabu.. Tunawataka hawa."- umeandika ukurasa maarufu wa mashabiki wa Mamelodi Sundowns (masandawanavlog) kupitia mtandao wa kijamii wa x.com.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz