Ishu ya Dickson Job yazidi kuleta sintofahamu George amlipua Oruma, hujui kitu nyamaza - EDUSPORTSTZ

Latest

Ishu ya Dickson Job yazidi kuleta sintofahamu George amlipua Oruma, hujui kitu nyamaza

George Job amlipua Oruma, hujui kitu nyamaza

Live leo Yanga vs Geita gold usikose kuitazama mechi hii live bure kabisa bonyeza hapa kudownload app yetu ili uweze kuitazama mechi hii na nyingine nyingi

Mchambuzi wa Michezo kutoka Efm, Wilson Oruma ameshangazwa kwa kitendo cha mlinzi wa Yanga Dickson Job kutofungiwa baada ya kile kinachoelezwa kumgomea Mwalimu wa Stars katika mchezo dhidi ya Congo mashindano ya AFCON.

Oruma aliandika;

"Mpaka sasa Dickson Job anachotakiwa kushukuru ni TFF hawajamfungia Kabisa kucheza Taifa Stars

Lakini alichokifanya kukataa kucheza Mechi Muhimu ya AFCON dhidi ya Dr Congo huku tayari akiwa ameshachukua Posho ambayo ni kutokana na Kodi zetu ni USALITI.

UNACCEPTABLE

Baada ya andiko hili Mchambuzi wa Michezo kutoka Wasafi FM, GeORGE jOB ambae pia ni Msimamizi wa Dickson Job amemjibu Oruma kwa kuandika;

"Hujui hata robo ya sakata hili na bado unajiona uko kwenye nafasi ya kumuita mtu MSALITI. Usisubiri TFF hata wewe unaweza kumfungia".

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPAz



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

1 comment:

  1. Huyu George Job ni mshamba sana anayejifanya anajua sana. Pumbavu sana

    ReplyDelete

Edusportstz