Dube arudisha kila kitu alichopewa na Azam FC - EDUSPORTSTZ

Latest

Dube arudisha kila kitu alichopewa na Azam FC

Prince Dube

Usikose kuitazama mechi ya Yanga vs Namungo live bure kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa

Wakati Sakata la Msham buliaji wa Azam FC Prince Dube likiwa bado linapamba moto, Mwandishi wa Michezo kutoka kituo cha Efm ameandika;

"Kuna taarifa kwamba mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerejesha kilakitu alichopewa na klabu yake ya Azam ikiwemo nyumba, ikiwa ishara ya kusisitiza kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo.

Dube ambaye hakuwepo kwenye mazoezi ya leo alikuwepo jana na hakwenda kimazoezi ila alifanya maongezi na kocha Dabo tu, jambo ambalo wenzie walipata imani kwamba leo angerejea mazoezini

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA


Wakati huo huo pia taarifa zinasema wachezaji wengi wamechukizwa na kinachoendelea kwakuwa wanajua sakata la Dube limekuwa la muda mrefu kiasi, lakini kufikia kuandika barua wanaona kama limezidi mpaka na hawamuoni kama mwenye moyo na timu hiyo tena.

Kama hili la kurejesha mali za klabu litakuwa kweli basi manake sakata hili litakuwa limepiga hatua kubwa sana kuelekea ndoa kuvunjika kati ya Dube na Azam FC. Kwakuwa ni hatari sana kuwa na mchezaji ambaye moyo wake hauko kwenye timu na ameshafanya maamuzi mengine juu ya maisha yake klabuni kwenu.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz