Nyota raia wa Brazil, BRUNO GOMES BARROSO katika ukurasa wake wa Instagram ameweka barua inayoonyesha kuwaaga mashabiki wa klabu ya Singida Fountain Gate na wale wa soka la Tanzania.
Nyota raia wa Brazil, BRUNO GOMES BARROSO katika ukurasa wake wa Instagram ameweka barua inayoonyesha kuwaaga mashabiki wa klabu ya Singida Fountain Gate na wale wa soka la Tanzania. Kiungo huyo fundi kwa barua aliyoichapisha mwenyewe ni rasmi sasa hatakuwa mali ya Singida
No comments:
Post a Comment