Yanga yakomba sh milioni 20 za Rais Samia - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yakomba sh milioni 20 za Rais Samia

 Yanga yakomba sh milioni 20 za Rais Samia

Download app yetu kutazama Mechi za NBC premier league, Epl, Laliga, Bundesliga na nyingine nyingi Bure bofya hapa Sasa kuidownload

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (MwanaFA) amekabidhi kitita cha shilingi milioni 20 kwa Yanga SC baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 4-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad.

Fedha hizo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye aliahidi kutoa shilingi milioni tano kwa kila goli la ushindi kwenye michezo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz