Viingilio mechi ya Simba vs YANGA hivi hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Viingilio mechi ya Simba vs YANGA hivi hapa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Jumapili Novemba 05 2023 mchezo wa kwanza wa dabi ya Kariakoo Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya Yanga utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa


Simba watakuwa wenyeji wa mchezo huo utakaopigwa saa 11 jioni


Viingilio vya mchezo huo tayari vimetangazwa ambapo majukwaa ya Mazunguuko kiingilio ni Tsh 5,000/-


Machungwa ni Tsh 10,000/- wakati VIP C ni Tsh 20,000/- VIP B ni Tsh 30,000/- na VIP A ni Tsh 40,000/- Tiketi za Platinum ni Tsh 150,000/-Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz