Zakazakazi atoa neno kipigo dhidi ya Yanga, amtaja mwamuzi - EDUSPORTSTZ

Latest

Zakazakazi atoa neno kipigo dhidi ya Yanga, amtaja mwamuzi

 Mkuu wa Kitengo cha Habari Azam FC, Thabit Zakaria

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Yanga juzi Jumatatu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.


Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Azam FC, Thabit Zakari "Zakazakazi" kwa mara ya kwanza amezungumza baada ya kipigo hicho.


Akizungumza Zakazakazi anasema;


" Nikweli wachezaji waliahidiwa bonus (Japo hakuitaja kiasi gani), Pia Nimpongeze mwamuzi, (Ahmed Arajiga) alichezesha vizuri, Ni nadra kuona Azam tunapata penati dhidi ya hizi timu za Kariakoo. Mara ya mwisho Azam kupata penati dhidi ya Yanga ilikua 2012"Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz