Yanga vs Azam Fc yasogezwa mbele Tena - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga vs Azam Fc yasogezwa mbele Tena


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc sasa utapigwa siku ya Jumatatu, Oktoba 23 2022 badala ya Jumapili ya Oktoba 22 2023


Bodi ya Ligi imebainisha kuwa mabadiliko hayo yametokana na uwepo wa mchezo wa AFL kati ya TP Mazembe dhidi ya Esperance ambao utapigwa Oktoba 22


Aidha mchezo kati ya Yanga dhidi ya Singida BS sasa utapigwa Oktoba 27 badala ya Oktoba 26Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz