Yanga vs Azam Fc Kupigwa kwenye uwanja wa Mkapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga vs Azam Fc Kupigwa kwenye uwanja wa Mkapa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumatatu, Oktoba 23 2023, sasa umepelekwa uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex


Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amethibitisha mabadiliko hayo


Mapema leo Bodi ya Ligi ilitangaza kusogeza mbele mchezo huo kwa siku moja kutoka Jumapili, Oktoba 22 kwenda Jumatatu huku uwanja ukibaki Azam Complex


Lakini sasa ni rasmi mchezo huo utapigwa dimba la Mkapa kama ulivyo mchezo utakaofuata dhidi ya Singida BS nao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 27Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz