Yanga, Al Hilal, TP Mazembe, Asec Pot 3 - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga, Al Hilal, TP Mazembe, Asec Pot 3

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Droo ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika inatarajiwa kufanyika Oktoba 06 huko Johanesburg Afrika Kusini


Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga watakuwa pot ya tatu sambamba na TP Mazembe, Al Hilal na Asec Mimosas


Pot 1 itakuwa na timu za Al Ahly, Mamelodi Sundowns, Wydad Athletic na Esperance


Pot 2 itakuwa na timu za Pyramids, Petro Atketico, CR Belouisdad na Simba


Pot 4 itakuwa na timu za Etoile Sahel, Jwaneng Galaxy, Fc Nouadhibou na Medeama


Kundi ambalo Yanga itapangwa litakuwa na timu moja kutoka Pot 1,2 na 4Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz