Viingilio IHEFU vs Yanga hivi hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Viingilio IHEFU vs Yanga hivi hapa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Baada ya siku 309 tangu Yanga ifungwe na Ihefu mabao 2-1 Novemba 29 uwanja wa Highland Estate ulipo Mbarali mkoani Mbeya na kuharibu Unbeaten yao, Oktoba 4 watakutana tena katika uwanja huo tena kwa mechi ya Ligi Kuu.


Yanga ambao ni mabingwa watetezi Ligi Kuu na sasa wapo hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika bado hawajapoteza mchezo wowote Ligi Kuu msimu huu ikiwa kileleni kwa pointi 9 wakifunga mabao 11 bila kuruhusu bao.


Ihefu ipo nafasi ya 11 ikishinda mechi moja na kupoteza mbili tayari imetangaza kiingilio cha mechi hiyo itakayoanza saa 10:00 jioni kuwa ni Sh10,000 mzunguko na VIP Sh30,000.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz