TETESI: Mwinyi Zahera apewa "Thank you" Coastal Union - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Mwinyi Zahera apewa "Thank you" Coastal Union

 Mwinyi Zahera

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa klabu ya Coastal Union ni kuwa umefikia makubaliano rasmi ya kusitisha mkataba na Kocha wao Mkuu Raia wa Congo DR, Mwinyi Zahera baada ya kutoridhishwa na kiwango cha Timu hiyo tangu akabidhiwe majukumu ya kukionoa.


Takwimu za Kocha Zahera akiwa na Coastal Union


Michezo 5


Ushindi 0


Sare


Kufungwa 3


Katika alama 15 Papaa mwinyi zahera ameambulia alama 2 pekee ndani ya NBC.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz