Taarifa MPYA kutoka Yanga ASUBUHI hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa MPYA kutoka Yanga ASUBUHI hii


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi


Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa jezi za Yanga, amesema uzi huo ni bora zaidi ya ule waliotumia kwenye kombe la Shirikisho msimu uliopita


Sheria amejipambanua kwa ubora wa kazi yake kwani tangu aanze kubuni jezi za Yanga hajawahi kuwaangusha WananchiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz