Singida Big Stars watupwa nje Kombe la Shirikisho Afrika - EDUSPORTSTZ

Latest

Singida Big Stars watupwa nje Kombe la Shirikisho Afrika

 Wachezaji wa Singida

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Jumapili jioni Uwanja wa WE Al-Ahly mjini Cairo nchini Misri.


Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Jumapili jioni Uwanja wa WE Al-Ahly mjini Cairo nchini Misri. Singida Big Stars inatolewa kwa kichapo cha jumla cha mabao 4-2 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki mbili zilizopita Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz