Simba yazindua uzi wa Super Ligi - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yazindua uzi wa Super Ligi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Klabu ya Simba leo imetambulisha jezi zitakazotumika kwenye michuano ya African Football League (AFL) inayotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Oktoba 20, mchezo kati ya Simba dhidi ya Al Ahly ukipigwa


Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo, Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema, Mdhamini Sandaland ameona haitapendeza Simba kwenda kushiriki michuano mikubwa pasipo kuwa na jezi maalum


Ahmed amesema jezi hizo zitaanza kupatikana leo katika maduka yote ya SandalandDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz