Mwana FA: Kwa Mkapa, Simba wamechangia TV na fridge tu! - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwana FA: Kwa Mkapa, Simba wamechangia TV na fridge tu!

 Simba wamechangia TV na fridge tu!

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amesema kuwa iwapo kuna timu inataka kutoa chochote kwa ajili ya kusaidia maboresho ya uwanja wa Mkapa, basi inakaribishwa.


Mwana FA amesema hayo leo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Kipenga Extra, East Africa Radio.


"Katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa Simba wamechangia kwa kuweka TV mpya pamoja na Fridge mpya.


"Hivyo kwa wanaoona kwamba Simba Sports Club hawatakiwi kuvimba (Wanafaidi) basi na wao watafute kitu cha kuleta ili wote wawe sawa kwani milango ipo wazi," amesema Mwana FA.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz