Msigwa: Simba hakuna bao la Mama - EDUSPORTSTZ

Latest

Msigwa: Simba hakuna bao la Mama

 Gerson Msigwa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly ya Misri hauna goli la Mama kutokana na matokeo ya mabao 2-2.


Msigwa amesema hayo jana baada ya kumalizika kwa mchezo wa African Football League kati ya Simba na Ahly ambao ulimalizika kwa sare ya bao 2_2 katika Dimba la Mkapa.


Pia, ameeleza kuwa kama Wizara wamejifunza namna ya kuandaa matukio makubwa ya mpira wa miguu.


Aidha, Msigwa ametoa rai kwa mashabiki kuwa watunze miundombinu ya Uwanja kwani Serikali imefanya kazi kubwa na nzuri.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz