Mastaa Yanga waahidi ushindi mbele ya Ihefu - EDUSPORTSTZ

Latest

Mastaa Yanga waahidi ushindi mbele ya Ihefu

 Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kiungo wa Yanga Mudathir Yahaya amesema kuwa mchezo wa kesho Oktoba 4 dhidi ya Ihefu wameahidi kwenda kuchukua alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea Ubingwa wao.


Yanga ambao msimu uliopita waliacha alama tatu na kuvurugiwa rekodi yao ya "Unbeaten" wana kumbukumbu mbaya katika Uwanja wa Hingland Estate lakini wamesema kuwa safari hii hakuna kikwazo cha kushindwa kuchukua alama tatu.


Akizungumza Kiungo huyo katika Mkutano wa Waandishi wa Habari amesema;


"Kwa niaba ya wachezaji wenzangu napenda kuchukua fursa hii kwanza kumshukuru mwenyezi Mungu tumefika salama na tumekuja hapa kupambana na kuhakikisha tunaondoka na alama tatu kwenye mchezo wetu wa kesho"Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz