Kocha USM Alger aliyeipa ubingwa mbele ya Yanga abwaga manyanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha USM Alger aliyeipa ubingwa mbele ya Yanga abwaga manyanga

 Kocha USM Alger aliyeipa ubingwa mbele ya Yanga abwaga manyanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Ikiwa imepita miezi kadhaa Wana-Yanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa USM Alger ya Algeria, Abdelhak Benchikha 959) ametangaza kujiuzulu.


USM Alger imethibitisha taarifa hiyo jana Jumatatu Oktoba 9, 2023 katika mtandao yake wa kijamii huku sababu kocha huyo kujiuzulu zikiwa hazijawekwa wazi.


Benchikha ameipa timu hiyo mafanikio makubwa ikiwemo Kombe la Shirikisho Afrika 2022/2023 pamoja mbele ya Yanga pamoja na ubingwa wa CAF Super Cup wakiifunga Al Ahly licha ya kutomaliza nafazi za juu katika ligi ya Algeria kwa msimu uliopita.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz