Kocha Arsenal kuishuhudia Simba vs Ahly kwa Mkapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Arsenal kuishuhudia Simba vs Ahly kwa Mkapa

 Kocha wa Zaman wa Arsenal, Arsene Wenger

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi wa mashindano ya African Football League (AFL) kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 20 litakalohusisha mechi baina ya Simba na Al Ahly.


Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi wa mashindano ya African Football League (AFL) kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 20 litakalohusisha mechi baina ya Simba na Al Ahly. Imethibitishwa Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya soka Duniani atakuwepo kwa Mkapa.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz