Kilichomtoa Kouassi Yao kikosini Yanga chatajwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Kilichomtoa Kouassi Yao kikosini Yanga chatajwa

 Kilichomtoa Kouassi Yao kikosini Yanga chatajwa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Beki wa kulia wa Klabu ya Yanga, Kouassi Attohoula Yao raia wa Ivory Coast, amerejea mazoezini na yupo fiti kwa ajili ya mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate.


Yao alikosekana katika mchezo uliopita dhidi ya Azam baada ya kupata jeraha la enka siku mbili kabla ya mchezo huo ambao tulishinda magoli 3-2.


Daktari wa Yanga SC, Moses Etutu, amesema: “Yao kwa sasa yuko fiti kuivaa Singida. Alipata jeraha la enka siku mbili kabla ya mchezo wa Azam, lakini sasa hivi amerejea vyema mazoezini na yuko tayari kwa mechi.”Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz