Kikosi Cha Yanga vs IHEFU FC Leo October 4, NBC premier league - EDUSPORTSTZ

Latest

Kikosi Cha Yanga vs IHEFU FC Leo October 4, NBC premier league


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Timu ya Yanga inashuka Dimbani muda mchache kutoka sasa kuvaana na wenyeji Ihefu Jijini Mbeya.

Mchezo huo wa mzunguko wa nne wa Ligi Kuu Bara unapigwa katika Uwanja wa Highland Estate, uwanja ambao una kumbukumbu mbaya kwa Yanga kwani msimu uliopita ulivunjwa mwiko wa kutopoteza mechi za Ligi baada ya kukubali kichapo cha magoli 2-1 na kutibua rekodi ya "unbeaten"

Yanga wanashika nafasi ya pili katika jedwali la msimamo wa Ligi wakiwa nyuma ya vinara Azam FC wenye alama 10 baada ya michezo minne huku Yanga wakiwa na alama 9 baada ya michezo mitatu.

Hiki hapa ndio kikosi cha Yanga kinachokwenda kuanza mchezo dhidi ya Ihefu;
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz