Huyu hapa Kocha Mpya wa SINGIDA FOUNTAIN GATE FC - EDUSPORTSTZ

Latest

Huyu hapa Kocha Mpya wa SINGIDA FOUNTAIN GATE FC

 Ricardo Ferreira

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Singida Fountain Gate FC imemtangaza mkufunzi Ricardo Ferreira raia wa Brazil kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua nafasi Mjerumani, Ernest Middendorp aliyebwaga manyanga kwa kile alichodai kuwa ni kuingiliwa katika majukumu yake.


Klabu ya Singida Fountain Gate FC imemtangaza mkufunzi Ricardo Ferreira raia wa Brazil kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua nafasi Mjerumani, Ernest Middendorp aliyebwaga manyanga kwa kile alichodai kuwa ni kuingiliwa katika majukumu yake. Ricardo ana rekodi ya kufundisha vilabu vikubwa barani Afrika kwa mafanikio vikiwemo Al Hilal ya Sudan, Al Merrikh SC ya Sudan na lsmaily SC ya Misri.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz