Chelsea, Arsenal hakuna Mbabe - EDUSPORTSTZ

Latest

Chelsea, Arsenal hakuna Mbabe

Mchezo ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Matajiri wa London, Timu ya Chelsea wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.


Chelsea ilitangulia kwa mabao ya Cole Palmer dakika ya 15 kwa penalti na Mykhailo Mudryk dakika ya 48, kabla ya Arsenal kuzinduka na mabao ya Declan Rice dakika ya 77 na Leandro Trossard dakika ya 84.


Kwa matokeo hayo, Chelsea inafikisha pointi 12 na kusogea nafasi ya tisa, wakati Arsenal inafikisha pointi 21 na kurejea nafasi ya pili ikizidiwa tu wastani wa mabao ya Mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi tisa.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz