Yanga ni mwendo wa rekodi Afrika - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga ni mwendo wa rekodi Afrika

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Katka kipindi cha misimu miwili mfululizo Yanga imetawala soka la ndani kwa kushinda mataji yote


Aidha msimu uliopita Wananchi wakapiga hatua kubwa kwenye michuano ya Kimataifa wakifanikiwa kucheza fainali ya kombe la Shirikisho CAF CC wakimaliza katika nafasi ya pili


Haishangazi kuona Yanga imeendelea kupaa kwenye viwango vya ubora vinavyotolewa na taasisi mbalimbali


Kwa mujibu wa shirika la tafiti na habari Duniani la IFFHS limeitaja klabu ya Yanga kuwa klabu namba tatu (3) barani Afrika ikiwa nyuma ya Al Ahly na Wydad Casablanca. Hizi ni takwimu za kuanzia Septemba 2022 hadi Augsut 2023 

Takwimu hizi zinahusisha mashindano yote yaani ligi ya ndani ya mechi za Kimataifa


IFFHS ni Shirika linalotambuliwa na FIFA, limekuwa likitoa takwimu mbalimbali za michezo. Ni shirika hili lililotoa takwimu juu ya ubora wa ligi na kuitaja Tanzania kushika nafasi ya tano kwa ubora wa ligi barani AfrikaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz