Tetesi za Usajili barani ulaya zilizokamilika - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi za Usajili barani ulaya zilizokamilika

 


Manchester United imemsajili goalkeeper Altay Bayındır kutoka Fenerbahce kwa ada ya pound million £4m.


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Bologna imemsajili full-back Riccardo Calafiori kwa mkopo kutoka Basel.


Leeds imemsajili kiungo Ilia Gruev kutoka Werder Bremen kwa ada ya pound million £5m kwa mkataba wa miaka 4.


FC Porto imemsajili winger Iván Jaime kutoka Famalicao kwa ada ya euro million €10m.


Wolves imemsajili centre-back Santiago Bueno kutoka Girona kwa ada ya £8m kwa mkataba wa miaka mitano.


Lecce imemsajili striker Roberto Piccoli kwa mkataba wa mkopo wa mda mrefu kutoka Atalanta.


Arminia Bielefeld have signed winger Noah Joel Sarenren Bazee from Augsburg for an undisclosed fee.


Heerenveen imemsajili winger Patrik Walemark kwa mkopo kutoka Feyenoord.


Brescia imemsajili striker Gabriele Moncini kutoka Benevento kwa ada ambayo haijawekwa wazi


Wolfsburg imemsajili striker Amin Sarr kwa mkopo wa mda mrefu kutoka Olympique Lyon.


Atalanta imemsajili full-back Emil Holm kwa mkopo wa mda mrefu kutoka Spezia.


Sheffield United imemsajili left-back Luke Thomas kutoka Leicester kwa mkopo wa mda mrefu.


Rotherham imemsajili mshambuliaji Sam Nombe kutoka Exeter kwa ada pound million £1m kwa miaka 4.


Stoke city imemsajili kiungo Bae Junho kutoka Daejon Hana Citizen kwa ada ambayo haijawekwa wazi kwa mkataba wa miaka 4.


Portsmouth imekamilisha usajili wa kiungo Tino Anjorin kwa mkopo wa mda mrefu kutoka Chelsea.


Arminia Bielefeld imekamilisha usajili wa winger Noah Joel Sarenren Bazee kutoka Augsburg kwa ada ambayo haijawekwa wazi.


Middlesbrough imekamilisha usajili wa kiungo kutoka Nottingham Forest Lewis O'Brien na kiungo kutoka Leeds United Sam Greenwood wote kwa mkopo.


Hellas Verona imekamilisha usajili wa winger Jackson Tchatchoua kutoka Charleroi kwa mkopo.


Borussia Monchengladbach imemsajili forward Jordan Siebatcheu kutoka Union Berlin kwa mkopo wa mda mrefu.


Wolves imemsajili winger Enso González kutoka Libertad kwa ada ya pound million £5m kwa mkataba wa miaka 5


Leicester imemsajili winger Issahaku Fatawu kutoka Sporting CP kwa mkopo wa mda mrefu.


Stade Rennes imemsajili midfielder Fabian Rieder kutoka Young Boys kwa ada ya euro million €15m.


Odense imemsajili centre-back Filip Helander kwa uhamisho huru kutoka Rangers.


Torino imemsajili centre-back Saba Sazonov kutoka Dynamo Moscow kwa ada ya euro million€2.75m.


Roma imemsajili mshambuliaji Romelu Lukaku kutoka Chelsea kwa mkopo wa mda mrefu


Olympique Lyon imemsajili mshambuliaji Ernest Nuamah kwa mkopo wenye kipengele cha kumsajili kwa mkataba wa kudumu kwa euro million €25 kutoka Nordsjaelland


Werder Bremen imemsajili kiungo Olivier Deman kutoka Cercle Brugge kwa ada ya euro million €4m.


Genoa imemsajili kiungo Berkan Kutlu kutoka Galatasaray kwa mkopo.


Metz imekamilisha usajili wa right-back Kévin Van Den Kerkhof kutoka Bastia kwa ada ya euro million €2.5m.


Motherwell imemsajili mshambuliaji Oli Shaw Barnsley kwa mkopo wa msimu 1.


Blackburn imemsajili centre-back James Hill kutoka Bournemouth kwa mkopo wa mda mrefu


Kiungo wa zamani wa Everton Gylfi Sigurdsson amejiunga na Lyngby Boldklub ya nchini Denmark.


Cologne imemsajili centre-back Dominique Heintz kutoka Union Berlin kwa ada ambayo haijawekwa wazi kwa mkataba wa mwaka 1.


Brest imemsajili left-back Jordan Amavi kutoka Marseille kwa mkopo wa mda mrefu.


Darmstadt imemsajili winger Tim Skarke kutoka Union Berlin kwa mkopo wa mda mrefu.


Salernitana imemsajili winger Loum Tchaouna kutoka Rennes kwa ada ambayo haijawekwa wazi.


Luton imemsajili beki wa kati Teden Mengi kutoka Manchester United kwa mkopo.


Ipswich imemsajili mshambuliaji Dane Scarlett kutoka Tottenham kwa mkopo wa mda mrefu.


Birmingham imemsajili beki wa kati Emanuel Aiwu kwa mkopo wa mda mrefu kutoka Cremonese.


PSG imemsajili winger Bradley Barcola kutoka Olympique Lyon kwa ada ya euro million €45m plus €5m add-ons kwa mkataba wa miaka 5.


Lorient imemsajili kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea Tiémoué Bakayoko kwa mkataba wa miaka 2.


Leeds imemsajili kiungo Glen Kamara kutoka Rangers kwa pound million £5m mkataba wa miaka 4


Burnley imemsajili kiungo wa zamani wa Bristol City Han-Noah Massengo kwa mkataba wa miaka 4.


Lazio imemsajili kiungo Mattéo Guendouzi kutoka Marseille kwa mkopo.


Nottingham Forest imemsajili beki wa kati Murillo kutoka Corinthians kwa ada ya pound million £13.5m kwa mkataba wa miaka 5.


Celtic imemsajili beki wa kati wa klabu ya Liverpool Nathaniel Phillips kwa mkopo.


Borussia Dortmund imemsajili mshambuliaji Niclas Füllkrug kutoka Werder Bremen kwa ada ya euro million €13m kwa mkataba wa miaka 3.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz