Msimu mpya, kanuni mpya za Mfungaji Bora - EDUSPORTSTZ

Latest

Msimu mpya, kanuni mpya za Mfungaji Bora

 Msimu mpya, kanuni mpya za Mfungaji Bora Ligi Kuu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kipengele kwenye kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara kutafuta mfungaji bora ikitokea wachezaji wamelingana magoli.


Goli lisilo la Penati - Point 2


Goli la Penati - Point 1


Ikitokea wote wana magoli ya penati zitahesabiwa points kama unavyoona hapo juu,


It means mwenye magoli mengi ya penati atakosa tuzo ya ufungaji bora..


Atakuwa na points chache Zaidi ya mwenzake, Je unadhani kwa vigezo hivi nan ataibuka mfungaji Bora?Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz