Man United yapata mdhamini mpya Snapdragon - EDUSPORTSTZ

Latest

Man United yapata mdhamini mpya Snapdragon

 Man United yapata mdhamini mpya Snapdragon

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na kampuni ya kiteknolojia Qualcomm kwa ajili ya kuwa mdhamini mkuu wa jezi za Mashetani hao Wekundu kuanzia msimu ujao wa 2024/25.


Chapa ya Qualcomm ya 'SNAPDRAGON' itaonekana mbele ya jezi za nyumbani, ugenini na jezi namba 3 za Man United kuanzia msimu ujao ikichukua nafasi ya Team Viewer ambayo ipo mbele za jezi za sasa.


Qualcomm Snapdragon ni Kampuni Kiteknolojia yenye maskani yake San Diego, California, Marekani ambayo inayojihusisha na mifumo ya vichakataji (processors) ya vifaa vya simu janja, computer na bidhaa zingine za kielektroniki.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz