Mamelodi kuvaana na Bumamuru Leo Azam complex - EDUSPORTSTZ

Latest

Mamelodi kuvaana na Bumamuru Leo Azam complex

 Bumamuru vs Mamelodi, nani kuibuka mbabe Chamazi leo?

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea tena leo Septemba 15, 2023 kwa mchezo mmoja wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambao utachezwa kwenye ardhi ya Tanzania, Jijini Dar es Salaam.


Vigogo wa Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns almaarufu 'Wabrazil' watakuwa wageni wa klabu ya Bumamuru ya Burundi katika dimba la Azam Complex, Chamazi.


Klabu ya Bumamuru FC inatumia uwanja wa Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam Tanzania kama uwanja wake wa nyumbani.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz