Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Kitayosce Zamani Tabora United imefungiwa kusajili Kutokana na kushindwa kumlipa aliyekuwa Mlinzi wao wa kushoto raia wa Ghana Asante Kwasi,
Asante kwasi alishinda shauri hilo na klab ya Kitayosce kuamtiwa kumlipa stahiki zake ndani ya siku 45 kitu ambacho hakikufanyika,
Asante kwasi anaidai klab ya Kitayosce Madai ya Mshahara na malimbikizo ya Mishahara yake,
Sasa Rasmi FIFA Imewafungia kusajili Mpaka pale watakapo malizana na Mlimzi huyo wa kushoto.
Soma taarifa ya TFF kwa urefu hapa chini, kisha tupe maoni yako
Post a Comment